MICHEZO: SIMON MSUVA AENDELEA KUNGA'RA MOROCCO



Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva Jana aliendelea kung'ara katika klabu yake ya Difaa El Jadidi wakati ilipoifunga Olympique Khouribga magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchi hiyo BOTOLA.

Simon Msuva alifunga goli la nne katika dakika ya 71 na magoli mengine matatu yakifungwa na H. Ahaddad.

Timu ya Difaa sasa inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa imecheza michezo tisa na ina pointi 17 

No comments:

Powered by Blogger.