NEWZ : WANAMUZIKI NGUZA VIKINNG NA MWANAYE PAPI KOCHA WATOKA JELA KWA MSAMAHA WA RAISI

MAPULSA255.COM

Rais John Magufuli akiwa kwenye kilele cha miaka 56 ya Uhuru amesemehe wafungwa waliohukumiwa kwa vifungo mbalimbali na kunyongwa.


Miongoni mwa waliosamehewa ni wanamuziki Nguza Viking Alias maarufu Kama Babu Seya na Johnson Nguza(Papii Kocha) ambao walihukumiwa kifungo Cha maisha gerezeni kwa kosa la kubaka na kulawiti watoto 10 mwaka 2003 na kuhukumiwa Juni 25, 2004.


Pakua wimbo wao maarufu SEA uburudike nap wikiendi hii

CLICK BELOW TO DOWNLOAD

👇👇👇

DOWNLOAD

No comments:

Powered by Blogger.