VIDEO: PAPI KOCHA & NGUZA VIKING - SEA || WATCH
Yametimia katika sherehe za Uhuru 2017. Katiba ya JMT Ibara ya 45 yatumika.
Karibuni kwa maoni.
Rais John Magufuli akiwa kwenye kilele cha miaka 56 ya Uhuru amesemehe wafungwa waliohukumiwa kwa vifungo mbalimbali na kunyongwa.
Miongoni mwa waliosamehewa ni wanamuziki Nguza Viking Alias maarufu Kama Babu Seya na Johnson Nguza(Papii Kocha) ambao walihukumiwa kifungo Cha maisha gerezeni kwa kosa la kubaka na kulawiti watoto 10 mwaka 2003 na kuhukumiwa Juni 25, 2004.
Tazama wimbo wao maarufu SEA
No comments:
Post a Comment